Machapisho

SIYO KILA DALILI YA MWANAUME KUKUPENDA NI YA KWELI.......!

Picha
Siyo kila dalili ya mwanaume kupenda ni ya kweli…! Kuna wakati ambapo, wanawake wanajikuta wakikabiliwa na swali la, je, mwanaume huyu ananipenda kweli? Hii hutokea pale anapokutana na mwanaume ambaye, huenda amevutiwa naye. Pengine mwanaume naye anaweza kuonesha kuvutiwa na mwanamke huyo. Kwa hiyo, mwanamke hujiuliza kama akubali ombi la mwanaume huyo na kukubali kuzungumza naye au kuanzisha naye uhusiano, kama mwanaume atakuwa amezungumza naye kuhusu jambo hilo. ni kweli kwamba, kuna ugumu kwa mwanamke kujua hasa ni kwa namna gani anaweza kujua kwamba, huyo mwanaume amempenda kweli au hapana. Kuna vitu vingi ambavyo vinaweza kuwa ni dalili ya kumpenda mwanamke, lakini wakati huo huo vinaweza visiwe. 1. Hebu tuchukulie kwamba, mwanaume ameonesha kuwa na tabia tunazoziita nzuri. Labda amekumbuka kirahisi jina la mwanamke, ameonesha kuwa msikilizaji mzuri, ameonesha kuwa anajali kuhusu kinachosemwa na mwanamke, na amekuwa anamuuliza maswali kwa dhati na utulivu. Hapa mwanamke anaweza ...

(Official Music Video) Kala Jeremiah ft Nay Lee - Wale Wale

Picha

KAMATI KUU YA CHADEMA KUKUTANA KUANZIA LEO

Picha
KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Freeman Mbowe inatarajia kukutana kuanzia leo Novemba 20 mpaka Novemba 21 mwaka huu katika Hotel ya Ubungo Plaza Jijini Dar es Salaam. Kamati Kuu hii ni ya kawaida kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA ambapo pamoja na mambo mengine inatarajia kupokea taarifa za utekelezaji wa maazimio mbalimbaliya kikao cha Kamati Kuu iliyopita.

HUU NDO UTAJIRI WA MCHEZAJI WA TOGO EMANUEL ADEBAYOR....."CHEKI HAPA PICHA 15......

Picha
MCHEZAJI wa Tottenham Hotspur ''Emmanuel Adebayor'' ni mmoja kati ya wachezaji matajiri sana Africa na anamiliki nyumba kwao Togo,Ghana,UK na Marekani. Adebayor mwenye umri wa miaka 29 ametoa picha zake zikionyesha magari yake ya kifahari, private jet na vitu vingine vingine. Enjoy picha 15 kutoka kwa Adebayor ambaye siku chache zilizopita alikuwa kwenye harusi ya Peter wa P Square pamoja na Diamond Platnums.  HIZI ni Private Jet anazomiliki Adebayor..!

Hot Newz Daily: IRENE UWOYA AWAONYESHA MASHABIKI WAKE TATOO YAKE N...

Picha
Hot Newz Daily: IRENE UWOYA AWAONYESHA MASHABIKI WAKE TATOO YAKE N... : Muigizaji wa kike ambaye ametajwa kuwa ndiyo maarufu sana nchini Congo kuliko msanii yoyote wa bongomovie na anajulikana zaidi kwa jina la Oprah zaidi ya jina lake la irene uwoya. Headline mpya kutoka kwake ni kuhusu picha alizo-post zikionyesha tatoo yake nyingine ambayo haijawai kuonekana kwasababu aliwah kuweka wazi tatoo mbili tu, moja ni ya nyayo za mwanae krish iliyopo mgongoni na nyingine ipo kifuani hii hapa ndo mpya..

UKATILI WA KUTISHA MKOANI RUKWA

Mtu mmoja amefariki dunia kwa kukatwa kichwa na kutenganishwa kiwiliwili na watu wasiofahamika katka eneo la la kanisa la hija kata ya Sumbawanga asili mjini Sumbawanga akithibitisha kutokea kwa  tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa ,JACOB MWARWANDA amesema kuwa marehemu na wahusika wa tukio hilo hawajafahamika.Hata hivyo jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi ili kuwabaini walio husika na hilo la kinyama wakati huo mwili wa marehemu umehifadhiwa katka hospitali ya mkoa Rukwa. Na michaelkiliso@gmail.com

DownLoad Na Sikiliza Wimbo Mpya Wa Timbulo Ft Xmal...

: DownLoad Na Sikiliza Wimbo Mpya Wa Timbulo Ft Xmal...