KAMATI KUU YA CHADEMA KUKUTANA KUANZIA LEO

KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Freeman Mbowe inatarajia kukutana kuanzia leo Novemba 20 mpaka Novemba 21 mwaka huu katika Hotel ya Ubungo Plaza Jijini Dar es Salaam. Kamati Kuu hii ni ya kawaida kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA ambapo pamoja na mambo mengine inatarajia kupokea taarifa za utekelezaji wa maazimio mbalimbaliya kikao cha Kamati Kuu iliyopita.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HUYU NDIO DJ MARK WA 92.2FM SUMBAWANGA.....