UKATILI WA KUTISHA MKOANI RUKWA
Mtu mmoja amefariki dunia kwa kukatwa kichwa na kutenganishwa kiwiliwili na watu wasiofahamika katka eneo la la kanisa la hija kata ya Sumbawanga asili mjini Sumbawanga akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa ,JACOB MWARWANDA amesema kuwa marehemu na wahusika wa tukio hilo hawajafahamika.Hata hivyo jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi ili kuwabaini walio husika na hilo la kinyama wakati huo mwili wa marehemu umehifadhiwa katka hospitali ya mkoa Rukwa. Na michaelkiliso@gmail.com