UKATILI WA KUTISHA MKOANI RUKWA

Mtu mmoja amefariki dunia kwa kukatwa kichwa na kutenganishwa kiwiliwili
na watu wasiofahamika katka eneo la la kanisa la hija kata ya Sumbawanga asili
mjini Sumbawanga akithibitisha kutokea kwa  tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa ,JACOB MWARWANDA amesema kuwa marehemu na wahusika wa tukio hilo hawajafahamika.Hata hivyo jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi ili kuwabaini walio husika na hilo la kinyama wakati huo mwili wa marehemu umehifadhiwa katka hospitali ya mkoa Rukwa.

Na michaelkiliso@gmail.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HUYU NDIO DJ MARK WA 92.2FM SUMBAWANGA.....