Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba 10, 2017

MKUU wa mkoa Rukwa Zellote Stephen amewataka watumishi wa serikali kutoa huduma sahihi kwa Wananchi

Picha
MKUU wa mkoa Rukwa  Zellote Stephen amewataka  watumishi wa serikali kutoa huduma sahihi kwa Wananchi wanaowahudumia na si kuzitumia ofisi za serikali kuwa ni sehemu ya biashara na kinyume na misingi ya kazi zao Amedai kuwa utumishi wa umma una maadilio yake kiutendaji na lengo kubwa ni kumuhudumia Mwananchi hivyo huduma hizo zitolewe kwa kufuata kanuni na misingi ya kazi husika na si kutoa hudiuma hizo kwa upendeleo na rushwa. Akizungumza na watumishi wa serikali wanaofanya kazi makao makuu ya halmashauri ya wilaya mkuu huyo wa mkoa  amedai kuwa ili kuweza kuendana na serikali ya awamu ya tano ni lazima watumishi wa Umma kufanya kazi zao kwa kufiuata misingi kinyume cha hapo ni kufukuzwa kazi na hata kufikishwa mahakamani Mkuu huyo wa mkoa pia ameitumia siku ya leo kusikiliza kero mbalimbali za wananchi ambazo zimekosa ufumbuzi muda mrefu Mhe,zellote amekamilisha ziara ya siku tatu wilayani Nkasi ambapo ameweza kukagua na kuhamasisha shughuli mbalimbali za ma...

amejinyonga hadi kufa kwa kutumia nguo ngumu

Picha
KIJANA mmoja aliyetambulika kwa jina la Venance Kuchangwa(24) mkazi wa kijiji cha Miyombo  kata ya Mashete  wilayani Nkasi amejinyonga hadi kufa kwa kutumia nguo ngumu. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo afisa mtendaji  wa kata ya Mashete Cresence Paulo  alisema kuwa kijana huyo alikutwa amekufa akiwa amejitundika juu ya mti jana majira ya saa tisa alasiri. Amesema kijana huyo alijinyonga kutokana na ugumu wa maisha baada ya kuacha shule kidato cha tatu na kwenda kufanya kazi za kubeba mizigo ambazo hazikuweza kubadilisha maisha yake. Alifafanua kuwa  licha ya kijana huyo kutotoa maelezo yoyote yaliyotokana na kifo chake ni kuwa amekuwa akilalamikia ugumu wa maisha baada ya kuacha shule na kwenda kuoa mke huku wazazi wake nao wakionyesha kumtegemea Hivyo kifo hicho  kimehusishwa moja kwa moja na ugumu  huo wa maisha kutokana na malalamiko ya mara kwa mara al;iyokuwa akiyazungumza kutokana na ugumu wa maisha uliokuwa ukimkabili hasa baa...

RC RUKWA ACHUKIZWA NA HAYA KATIKA SHUGHULI ZA UVUVI WILAYA YA NKASI

Picha
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Zerote steven zerote  amefanya ziara ya siku 3 katika wilaya ya Nkasi.Ikiwa ni muendelezo wa majukumu yake ya kufuatilia miradi inayoendelea katika wilaya zote zilizomo ndani ya mkoa wa Rukwa.kupitia ziara hiyo Rc amechukizwa na kitendo cha  wa Kirando kutumia vyandarua kama zana ya  uvuvi na kuwataka kutumia zana zilizoruhusiwa kishertia pia  amechua nafasi hiyo kuhamasisha suala la uzarendo na kuwaripoti wahamiaji haramu. Na.Michael Joackim NkasiFm