Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 19, 2017

AKIZUNGUMZIA NKASI STAR SEARCH - 'MKUU WA WILAYA YA NKASI SAID MTANDA' - Download | Added by MarK JRaizorTZ | Audiomack

AKIZUNGUMZIA NKASI STAR SEARCH - 'MKUU WA WILAYA YA NKASI SAID MTANDA' - Download | Added by MarK JRaizorTZ | Audiomack

Kisu mofire - 'Umenikamata' ft. paul wa milazo - Download | Added by MarK JRaizorTZ | Audiomack

Young Steve - 'Nairusha Swax' ft. peackok - Download | Added by MarK JRaizorTZ | Audiomack

Young Steve - 'Nairusha Swax' ft. peackok - Download | Added by MarK JRaizorTZ | Audiomack

TAMASHA LA MUZIKI NA UTAMADUNI WILAYA YA NKASI 19-20/2017.

Picha
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Said Mohamed Mtanda ameungana na wasanii na viongozi mbalimbali Katika Tamasha lililofanyika siku ya Jumamosi na Jumapili ya Tarehe 19 na 20 ili kuunga mkono Kampeni ya Kuzuia na kupambana na Madawa ya kulevya hivyo aliwataka vijana kuepukana na tabia ya uvutaji bangi na matumizi ya pombe kali yaani Viroba.Tamasha hilo pia lilipambwa na Ngoma za asili ikiwemo kikundi cha NkomanChindo msanii Robby GUITER na Young Steve msanii wa Hip Hop toka Sumbawanga manispaa.Wakazi wengi wa Namanyere walijitokeza na kumpongeza mkuu wa wilaya kwa kujali sanaa ndani ya wilaya.Pia yalifanyika mashindano ya kuwapata wasanii wenye uwezo wa kuimba ambapo watapata fursa ya kwenda jijini Dar es saalam kufanyiwa majaribio msanii Jozedah ndio aliyeibuka kinara akifuatiwa na Kisu Mofire na Paul wa milazo. huku viongozi mbalimbali wa kiserikali wakisindiza tamasha hilo. Tamasha hilo lilienda sambamba na Tendo la uchangiaji damu salama, upimaji wa VVU kwa hiari. imehari...