HUU NDO UTAJIRI WA MCHEZAJI WA TOGO EMANUEL ADEBAYOR....."CHEKI HAPA PICHA 15......
MCHEZAJI wa Tottenham Hotspur ''Emmanuel Adebayor'' ni mmoja kati ya wachezaji matajiri sana Africa na anamiliki nyumba kwao Togo,Ghana,UK na Marekani.
Adebayor mwenye umri wa miaka 29 ametoa picha zake zikionyesha magari yake ya kifahari, private jet na vitu vingine vingine.
Enjoy picha 15 kutoka kwa Adebayor ambaye siku chache zilizopita alikuwa kwenye harusi ya Peter wa P Square pamoja na Diamond Platnums.
HIZI ni Private Jet anazomiliki Adebayor..!

Maoni
Chapisha Maoni