Hot Newz Daily: IRENE UWOYA AWAONYESHA MASHABIKI WAKE TATOO YAKE N...

Hot Newz Daily: IRENE UWOYA AWAONYESHA MASHABIKI WAKE TATOO YAKE N...: Muigizaji wa kike ambaye ametajwa kuwa ndiyo maarufu sana nchini Congo kuliko msanii yoyote wa bongomovie na anajulikana zaidi kwa jina la Oprah zaidi ya jina lake la irene uwoya.

Headline mpya kutoka kwake ni kuhusu picha alizo-post zikionyesha tatoo yake nyingine ambayo haijawai kuonekana kwasababu aliwah kuweka wazi tatoo mbili tu, moja ni ya nyayo za mwanae krish iliyopo mgongoni na nyingine ipo kifuani hii hapa ndo mpya..

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HUYU NDIO DJ MARK WA 92.2FM SUMBAWANGA.....