Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba 2, 2016

P Dave - MI NAWE ft. POP D uploaded by MarK JRaizorTZ - Download | Audiomack

P Dave - MI NAWE ft. POP D uploaded by MarK JRaizorTZ - Download | Audiomack

MKUU WA MKOA KATAVI APOKEA SHILINGI 500,000/=KWA MUKABUBINGA

Picha
Mkuu wa mkoa KATAVI Meja JENERAL MSTAAFU RAPHAEL MUHUGA Amepokea shilingi laki tano kutoka kwaMUKABUBINGA ambao ni umoja wa wanakagera waishio wilayani Mpanda ambapo fedha hiyoni kwaajili ya kuwachangia waathirika wa tetemeko la Ardhi lililotokea mkoani KAGERA,pia mkuu huyo amepongeza umoja huo na kusema mpaka sasa shilingi milioni 13,344600 zimepatikana ili kuwasaidia waathirika hao fedha hiyo inarajiwa kuwasilishwa mkoani KAGERA Jumatatu ijayo ya oktoba 10,2016.

Hii ndio sababu kubwa ya ALI KIBA kuwa Nomenee kwenye tuzo za MTV EMA

Picha
MTV EMA wametoa sababu kwann ALI KIBA ni si msanii mwingine anaepaswa kuwa nomenee kwenye tuzo hizo.NOT ONLY IS HE A GREAT MUSICIAN HE IS ALSO PASSIONATE ABOUT GIVING BACK

Nisamehe Baraka Da Prince & Alikiba Official Video

Picha

DJ Khaled - Do You Mind ft. Nicki Minaj, Chris Brown, August Alsina, Jer...

Picha