RC RUKWA ACHUKIZWA NA HAYA KATIKA SHUGHULI ZA UVUVI WILAYA YA NKASI
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Zerote steven zerote amefanya ziara ya siku 3 katika wilaya ya Nkasi.Ikiwa ni muendelezo wa majukumu yake ya kufuatilia miradi inayoendelea katika wilaya zote zilizomo ndani ya mkoa wa Rukwa.kupitia ziara hiyo Rc amechukizwa na kitendo cha wa Kirando kutumia vyandarua kama zana ya uvuvi na kuwataka kutumia zana zilizoruhusiwa kishertia pia amechua nafasi hiyo kuhamasisha suala la uzarendo na kuwaripoti wahamiaji haramu.
Na.Michael Joackim NkasiFm
Maoni
Chapisha Maoni