HUYU NDIO DJ MARK WA 92.2FM SUMBAWANGA.....
Ni heri kama kawaida katka ufunguzi wa blog hii mpya tunakutana na mkali wa tasnia ya muziki toka sumbawanga ambae ni dj pia ni producer wa muziki wa kizazi kipya anaendelea kufanya vizuri hasa kwa kuteka mashabiki mbali mbali pia ni msanii ambae amefanya track kwa maproducer mbalimbali kama vile Dtouchez Fravour&Jose BRAIZ bitz pamoja na hayo ni mtu mwenye malengo ya kufika mbali kutokana na kipaji chake ikiwa bado anatamba na video yake mpya iliyofanywa na AFTERPAIN VIDEOZ chini ya director myaudi inayoitwa NIMECHOKA..
Maoni
Chapisha Maoni