Machapisho

P Dave - MI NAWE ft. POP D uploaded by MarK JRaizorTZ - Download | Audiomack

P Dave - MI NAWE ft. POP D uploaded by MarK JRaizorTZ - Download | Audiomack

MKUU WA MKOA KATAVI APOKEA SHILINGI 500,000/=KWA MUKABUBINGA

Picha
Mkuu wa mkoa KATAVI Meja JENERAL MSTAAFU RAPHAEL MUHUGA Amepokea shilingi laki tano kutoka kwaMUKABUBINGA ambao ni umoja wa wanakagera waishio wilayani Mpanda ambapo fedha hiyoni kwaajili ya kuwachangia waathirika wa tetemeko la Ardhi lililotokea mkoani KAGERA,pia mkuu huyo amepongeza umoja huo na kusema mpaka sasa shilingi milioni 13,344600 zimepatikana ili kuwasaidia waathirika hao fedha hiyo inarajiwa kuwasilishwa mkoani KAGERA Jumatatu ijayo ya oktoba 10,2016.

Hii ndio sababu kubwa ya ALI KIBA kuwa Nomenee kwenye tuzo za MTV EMA

Picha
MTV EMA wametoa sababu kwann ALI KIBA ni si msanii mwingine anaepaswa kuwa nomenee kwenye tuzo hizo.NOT ONLY IS HE A GREAT MUSICIAN HE IS ALSO PASSIONATE ABOUT GIVING BACK

Nisamehe Baraka Da Prince & Alikiba Official Video

Picha

DJ Khaled - Do You Mind ft. Nicki Minaj, Chris Brown, August Alsina, Jer...

Picha

TUMA SMS ANDIKA 28JOSE BRAIZ BEATS KWENDA NAMBA 15440 FOR VOTE KTMA 2014.

Picha
JOSE BRAIZ BEATS katka tuzo za kilimanjaro Tanzania Music Award kwa mwaka 2014 ambapo ukitaka kumpigia kura andika 28JOSE BRAIZ BEATS KWENDA namba 15440 kwa sms hii ni kwalengo la kuinua mziki wetu hasa producer kupata fursa ya kufanya kazi na wasanii wakubwa pia;baadhi ya kazi zilizomuingiza katka tuzo hizi ni kutoka kwa wasanii kama MONTANA-oneday,IVOR MAVOKO-uko mbali,SINGLE J-natamani,DAYANA-nan'gata,JD QEEN-sina upendo.tunaomba ushirikiano wako katka hili kwa maelezo zaidi husika na show ya leo katk regge music with DVj MACK.

MPIGIE KURA MTAYARISHAJI WA MZIKI SUMBAWANGA JOSE BRAIZ BEATS KATKA TUZO ZA KTMA 2014

Picha
Kuwa mzalendo kwa kumpigia kura mtayarishaji wa mziki Sumbawanga JOSE BRAIZ BEATS katka tuzo za kilimanjaro Tanzania Music Award kwa mwaka 2014 ambapo ukitaka kumpigia kura andika 28JOSE BRAIZ BEATS KWENDA namba 15440 kwa sms hii ni kwalengo la kuinua mziki wetu hasa producer kupata fursa ya kufanya kazi na wasanii wakubwa pia;baadhi ya kazi zilizomuingiza katka tuzo hizi ni kutoka kwa wasanii kama MONTANA-oneday,IVOR MAVOKO-uko mbali,SINGLE J-natamani,DAYANA-nan'gata,JD QEEN-sina upendo.tunaomba ushirikiano wako katka hili kwa maelezo zaidi husika na show ya leo katk regge music with DVj MACK.