MKUU WA MKOA KATAVI APOKEA SHILINGI 500,000/=KWA MUKABUBINGA
Mkuu wa mkoa KATAVI Meja JENERAL MSTAAFU RAPHAEL MUHUGA Amepokea shilingi laki tano kutoka kwaMUKABUBINGA ambao ni umoja wa wanakagera waishio wilayani Mpanda ambapo fedha hiyoni kwaajili ya kuwachangia waathirika wa tetemeko la Ardhi lililotokea mkoani KAGERA,pia mkuu huyo amepongeza umoja huo na kusema mpaka sasa shilingi milioni 13,344600 zimepatikana ili kuwasaidia waathirika hao fedha hiyo inarajiwa kuwasilishwa mkoani KAGERA Jumatatu ijayo ya oktoba 10,2016.
Maoni
Chapisha Maoni