Machapisho

UKATILI WA KUTISHA MKOANI RUKWA

Mtu mmoja amefariki dunia kwa kukatwa kichwa na kutenganishwa kiwiliwili na watu wasiofahamika katka eneo la la kanisa la hija kata ya Sumbawanga asili mjini Sumbawanga akithibitisha kutokea kwa  tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa ,JACOB MWARWANDA amesema kuwa marehemu na wahusika wa tukio hilo hawajafahamika.Hata hivyo jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi ili kuwabaini walio husika na hilo la kinyama wakati huo mwili wa marehemu umehifadhiwa katka hospitali ya mkoa Rukwa. Na michaelkiliso@gmail.com

DownLoad Na Sikiliza Wimbo Mpya Wa Timbulo Ft Xmal...

: DownLoad Na Sikiliza Wimbo Mpya Wa Timbulo Ft Xmal...

Tanzania Newz: HII SASA NI KUFURU!!! P-SQUARE WAWEKA SOFA{SAMANI}...

Tanzania Newz: HII SASA NI KUFURU!!! P-SQUARE WAWEKA SOFA{SAMANI}... : ‘We Talking Money You Talking Nonsense’ huenda ikawa kauli nzuri kuelezea hiki walichokifanya P-Square kwa sasa.

HUYU NDIO DJ MARK WA 92.2FM SUMBAWANGA.....

Picha
Ni heri kama kawaida katka ufunguzi wa blog hii mpya tunakutana na mkali wa tasnia ya muziki toka sumbawanga  ambae ni dj pia ni producer wa muziki wa kizazi kipya anaendelea kufanya vizuri hasa kwa kuteka mashabiki mbali mbali pia ni msanii ambae amefanya track kwa maproducer mbalimbali kama vile Dtouchez Fravour&Jose BRAIZ bitz pamoja na hayo ni mtu mwenye malengo ya kufika mbali kutokana na kipaji chake ikiwa bado  anatamba na video yake mpya iliyofanywa na AFTERPAIN VIDEOZ chini ya director myaudi inayoitwa NIMECHOKA..

HII NDIO STYLE YA BEN POL ANAPOKUWA JUKWAANI...

Picha
Picha
official video marc j raizor zawadi kwa wakazi wa manispaa ya sumbawanga huyu ndo nyota anayekuja kutake over katka gama ya muziki.....