Dj MaRK KATKA MIXING NIKIFANYA YANGU NI NDANI YA 92.2CHEMCHEM FM SUMBAWANGA KUTANA NAMI KATKA
1.MEGAMIX SHOW SIKU YA J4,ALH,IJUMAA KUANZIA SAA 8 MCHANA MPAKA 10 JIONI
2.ASUBUHI NJEMA CHAI NJEMA J3,J4,J5 KUANZIA 3;30 ASB MPAKA 5;OO
3.EXTRA SHOW TIME SIKU YA J,MOS KWANZIA SAA9 ALASIRI MPAKA 11 JIONI
KATKA MTIRIRIKO HUO UTAPATA BURUDANI YA KUTOSHA HASA SEGMENT AMBAZO NA MAALUM KWA WASIKILIZAJI ILA UNAWEZA KUTOA MAONI YAKO KUPITIA UKURASA HUU ILI TWENDE SAWA BUT BIG UUUUUUUUUUUP SANA KWA MICHARAZO PREZDER AS WAMICHARAZO KUPITIA BROG HII UTAPATA KUSIKILIZA MFUMO WA SHOW ZILIZOPITA HASA KATKA EXTRA SHOW TIME PIA KWA WASANII WOTE SUMBAWANGA NI NAFASI YETU PIA KUWA KITU KIMOJA HASA KWA KUUNGANISHWA NA MEDIA HASA KATKA PINDI ZA BURUDANI UNAWEZA KUTOA MAONI NA KUACHA NAMBA ZAKO ZA SIMU ILI TUWEZE KUBADILISHA MKOA WETU KATIKA KUINUA MZIKI WA BONGO FRAVA KWA KUSHIRIKIANA NA MA PRODUCER WOTE PAMOJA NA PRESENTERS.........................................SAUTI YA URAFIKI NA MAENDELEO...............

Maoni
Chapisha Maoni