Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2014

TUMA SMS ANDIKA 28JOSE BRAIZ BEATS KWENDA NAMBA 15440 FOR VOTE KTMA 2014.

Picha
JOSE BRAIZ BEATS katka tuzo za kilimanjaro Tanzania Music Award kwa mwaka 2014 ambapo ukitaka kumpigia kura andika 28JOSE BRAIZ BEATS KWENDA namba 15440 kwa sms hii ni kwalengo la kuinua mziki wetu hasa producer kupata fursa ya kufanya kazi na wasanii wakubwa pia;baadhi ya kazi zilizomuingiza katka tuzo hizi ni kutoka kwa wasanii kama MONTANA-oneday,IVOR MAVOKO-uko mbali,SINGLE J-natamani,DAYANA-nan'gata,JD QEEN-sina upendo.tunaomba ushirikiano wako katka hili kwa maelezo zaidi husika na show ya leo katk regge music with DVj MACK.

MPIGIE KURA MTAYARISHAJI WA MZIKI SUMBAWANGA JOSE BRAIZ BEATS KATKA TUZO ZA KTMA 2014

Picha
Kuwa mzalendo kwa kumpigia kura mtayarishaji wa mziki Sumbawanga JOSE BRAIZ BEATS katka tuzo za kilimanjaro Tanzania Music Award kwa mwaka 2014 ambapo ukitaka kumpigia kura andika 28JOSE BRAIZ BEATS KWENDA namba 15440 kwa sms hii ni kwalengo la kuinua mziki wetu hasa producer kupata fursa ya kufanya kazi na wasanii wakubwa pia;baadhi ya kazi zilizomuingiza katka tuzo hizi ni kutoka kwa wasanii kama MONTANA-oneday,IVOR MAVOKO-uko mbali,SINGLE J-natamani,DAYANA-nan'gata,JD QEEN-sina upendo.tunaomba ushirikiano wako katka hili kwa maelezo zaidi husika na show ya leo katk regge music with DVj MACK.

LEO KATKA STUDIO ZA DEAD CODE MUZIC............WITH MA BOY BRAIZY.

Picha
  JOSE BRAIZY BEATZ & DJ MARK sooon takuletea muonekano toka DEAD CODE MUZiK na huyu ndo producer Jose Braizy BEATZ leo mapema kabla ya interview ya mkali wa hip hop  Sumbawanga Montana Racavela  ndani 92.2chemchem Fm with Dj Mark katka muonekano halisi kupitia blog hiii utaweza ku dawnload ngoma kali kutoka dead code muzic......................................................................soooooooooooooon coooming.
Picha
Dj MaRK KATKA MIXING NIKIFANYA YANGU NI NDANI YA 92.2CHEMCHEM FM SUMBAWANGA KUTANA NAMI KATKA 1. MEGAMIX SHOW SIKU YA J4,ALH,IJUMAA KUANZIA SAA 8 MCHANA MPAKA 10 JIONI 2. A SUBUHI NJEMA CHAI NJEMA J3,J4,J5 KUANZIA 3;30 ASB MPAKA 5;OO 3. EXTRA SHOW TIME SIKU YA J,MOS KWANZIA SAA9 ALASIRI MPAKA 11 JIONI KATKA MTIRIRIKO HUO UTAPATA BURUDANI YA KUTOSHA HASA SEGMENT AMBAZO NA MAALUM KWA WASIKILIZAJI ILA UNAWEZA KUTOA MAONI YAKO KUPITIA UKURASA HUU ILI TWENDE SAWA BUT BIG UUUUUUUUUUUP SANA KWA MICHARAZO PREZDER AS WAMICHARAZO KUPITIA BROG HII UTAPATA KUSIKILIZA MFUMO WA SHOW ZILIZOPITA HASA KATKA EXTRA SHOW TIME PIA KWA WASANII WOTE SUMBAWANGA NI NAFASI YETU PIA KUWA KITU KIMOJA HASA KWA KUUNGANISHWA NA MEDIA HASA KATKA PINDI ZA BURUDANI UNAWEZA KUTOA MAONI NA KUACHA NAMBA ZAKO ZA SIMU ILI TUWEZE KUBADILISHA MKOA WETU KATIKA KUINUA MZIKI WA BONGO FRAVA KWA KUSHIRIKIANA NA MA PRODUCER WOTE PAMOJA NA PRESENTERS... ..................................... .SAUTI YA URAFIKI NA MAENDELEO...